

Kwa Watanzania mnaoishi Sweden na mko kwenye process za makaratasi ningeomba mjielimishe kwenye suala hili. Mwaka huu ni Uchaguzi na kuna vitu vingi Sana wanataka kubadilisha kwasababu hawataki Wageni na kama mmekuwa mkifuatilia kesi nyingi wamekuwa wakirudisha watu wengi nchini kwao especially teenagers maana mtu ukifikisha miaka 18 wewe sio tena mtoto. Kama mmeona Ile kesi wanataka kumrudisha mtoto ana miezi nane so wamekuwa wakali serekali ya awamu hii iliopo nadarakani na kwasababu wanataka kushinda tena wanazidi onyesha agenda zao. So jielimisheni kuhusu nani wa kumpigia kura sio mnapigia kura watu watakaokuja waumizeni baadae.. Nimemaliza.Com
0 Comments