KwaNina Wanawake Tanzania Wengi hundra pombe wakiwa ja mima ja wakati wa kunyonyesha? Ni kwamba hamjui madhara ya Pombe kwa mtoto au basi tu hamjali afya za watoto wenu. Au ni kwamba hamjapewa Elimu kuhusu hili. Huwa nashangaa sana kuona mjamzito akibugia mipombe na Huwa inanikwaza sana sana ona hili kitendo ca kunywa pombe upate maziwa kan hamna kitu kingine na Tanzania vitu Organic vimejaa sana. Badilikeni na eleweni kuwa pombe sio nzuri kabisa na madhara ni makubwa so jinyimeni kwa mda mfupi wa ujauzito na kunyonyesha halafu mrudi kwenye mambo yenu, Nimemaliza.Com!
Categories: Categorized

0 Comments

Leave a Reply

Avatar placeholder