GRILLING THE LAMB..,
THIS IS SO MUCH FUN AND THE KIDS LOVE IT..,

WHEN I WAS BACK THERE WAS SO MUCH GOING ON IN TERMS OF EVENTS,2 BIRTHDAYS,A TRIP AND EASTER SO WHO AM I TO COMPLAIN.THE EASTER WAS NICE AND VERY LAID BACK,WE GRILLED AND ATE GOOD FOOD.WE ENJOYED OUR COMPANY AND THE VIBE WAS REALLY COOL AND JOLLY.AFTER THE FOOD WE DANCED SOM MUCH AND OUR DEAR MOTHER AGAIN HAD TWO OUTFITS CHANGE.THE KIDS HAD FUN AND SO DID WE,NOW LET US SEE WHATS IN IT FOR EASTER 2020.

Hii ilikuwa pasaka 2019 na baada ya kurudi nlifika kukuta mambo kibao yananisubiri.Tulianza na birthday mvili,a mini safari na kula pasaka kwa Brother Juce na Mama kuja kujumuika nasi. Tulichoma nyama,tulikula na kuenjoy ila nahisi Watoto walienjoy zaidi. Baada ya kula aise tulicheza sana na Mama kama kawaida yake alitupa mavazi mawili tofauti hahahahh.Sasa tuone na tusubiri pasaka ya 2020 itakuwaje!

0Shares

0 Comments

Leave a Reply

Avatar placeholder