SO MY MOTHER HAS A MOVIE CALLED KESHO YANGU WHICH SHE PRODUCED AND STAR IN AS THE MAIN CHARACTER ALONGSIDE DUMA.THIS PRESSCONFERENCE WAS TO LET THE PEOPLE KNOW WHEN IT WAS GONNA BE PREMIERED AND WHERE.THE TURNOUT WAS GREAT AND EVERYTHING WENT SMOOTHLY.

MAMA DEAREST ALIKUWA ANAZINDUA FILAMU YAKE IITWAYO KESHO YANGU AMBAYO AMEIPRODUCE NA KUACT MAIN CHARACTER KWENYE FILAMU HIYO.HII PRESS ILIKUWA KUJULISHA WADAU KUHUSU MOVIE NA LINI ITAZINDULIWA NA KILA KITU KILIENDA SAWA.
0Shares

0 Comments

Leave a Reply

Avatar placeholder