DAVID CAME SEVEN SHARP IN THE MORNING AND PICKED US UP.WE THEN WENT TO THE MALL TO GET SOME STUFF FOR THE TOUR AND FOOD FOR LUNCH LATER ON.THE RIDE FROM CITY CENTRE TO TARANGIRE NATIONAL PARK TOOK ABOUT AN HOUR.THE GUIDE ALSO TELLS YOU WHAT COLOUR TO WEAR AND NOT FOR THE TOUR.WHEN YOU ARRIVE THE GUIDE TAKES YOUR IDENTIFICATION AND THE PAPPER WORK SO THAT THEY KNOW WHO WENT IN AND WHO CAME OUT ALL SAFE AND SOUND.DAVID ALIKUJA MAPEMA SAA MOJA ASUBUHI KUTUFUATA HOTELINI NA GARI.TUKAPITA MALL KUNUNUA DRINKS NA CHAKULA TUTACHOKULA BAADAE MCHANA.PIA TULIAMBIWA RANGI ZA KUVAA NA KUTOVAA WAKATI WA TOUR.SAFARI KUTOKA ARUSHA MJINI MPAKA TARANGIRE ILICHUKUA KAMA LISAA MOJA NA KITU.MKIFIKA WANACHUKUA VITAMBULISHO NA KUACHA INFORMATION ZENU ILI WAJUE KINA NANI WALIINGIA NA MLITOKA SALAMA. DAVID SIMBA AT SHIZI SAFARIS WAS OUR GUIDE,THEE BEST GUY EVER. I AM SO EXCITED., ALL THESE CARS ARE READY FOR THE ADVENTURE., LET THE ADVENTURE BEGIN.., TARANGIRE SURE IS BEAUTIFUL., AFTER A COUPLE OF HOURS YOU MAKE A STOP TO HAVE SOME LUNCH BEFORE CONTINUING WITH THE TOUR.THIS PLACE AND ITS VIEW IS TRULY AMAZING.WE ALSO SAW THE MONKEYS WITH THE BLUE BALLS,PRETTY COOL ACTUALLY.BAADA YA MASAA MNASIMAMA HII SEHEMU NA KUPATA CHAKULA CHA MCHANA.MAZINGIRA YA HII SEHEMU NI MAZURI SANA NA HAPA TULIPATA KUWAONA NYANI WENYE MAPUMBU YA BLUE,HAHAHA! OUR GUIDE WAS AMAZING WE WENT THROUGH THE WHOLE JUNGLE JUST TO SEE THE KING SIMBA BETTER KNOWN AS LION.YAANI GUIDE WETU ALIKUWA AMAZING MAANA TULIZUNGUKA TARANGIRE MPAKA TUKAWAONA SIMBA MAANA HUWA WANAJIFICHA KUWAPATA NI MTIHANI BUT WE DID IT. AFTER THE TOUR WE WENT BACK TO THE HOTEL,TOOK A SHOWER AND WENT OUT FOR DINNER AT TRIPPLE A AND THE FOOD WAS GREAT.WE WERE SO TIRED AFTER THE TOUR THAT AFTER DINNER WE JUST WENT STRAIGHT TO BED. Facebook Twitter LinkedIn WhatsApp 0Shares Categories: Categorized Tags: ArushaDavid SimbaNuruthelight ArushaSafarisShiri safarisTarangire national park 0 Comments Leave a Reply Cancel replyYou must be logged in to post a comment.
0 Comments