





NGOJA NIKAMSAIDIE MAMA KUPAKI MAANA ALITAKA IBEBA NUSU YA BONGO.NIMETOKA ZANZIZAB JANA NA LEO MAMA ANASAFIRI KURUDI EUROPE SO SASA NISHAAGA WATU WOTE NABAKI PEKE YANGU.






NIKAJIKUTA NAKUJA AIRPORT KUAGA WATU MAANA NLIANZA NA WAZUNGU NA WA MWISHO ALIKUWA MAMA.ANYHOW ALIENDA NA KUFIKA SALAMA NA KUJUMUIKA NA MUMEWE KWA RAHA ZAO.