




TUMEMALIZA LOCATION YA KWANZA NA TUNAELEKEA LOCATION YA PILI KWAAJILI YA CHAKULA CHA MCHANA





















HER AND HER HUSBAND WERE VERY WELCOMING AND I REALLY ENJOYED MYSELF SO THANK YOU RIYAMA AND LEO FOR HAVING ME AT YOUR BEAUTIFUL AND LOVABLE HOME.
RIYAMA ALINIALIKA NYUMBANI KWAKE NA MUMEWE CHAKULA CHA MCHANA NA KWA MDA TULIKUWA TUNAPATA SHIDA YA KUPATA MDA UNAOFAA KWASABABU YA RATIBA ZETU BUT FINALLY TUKAWEZA KUKUTANA.NILIENDA KWAO NA WALITUANDALIA CHAKULA NA KIUKWELI CHAKULA KILIKUWA KIZURI SANA TENA MNOO.WAKATI UKO NA RIYAMA LAZIMA UWE UNACHEKA KILA MDA MAANA NI MCHESHI,MNYENYEKEVU NA MKARIMU.
TULIJIKUTA TUMEKAA MASAA KWAKE NA KUONDOKA JIONI HUKU TUKIWA TUMESHIBA NA TUMEENJOY.LEO NA RIYAMA NIWASHUKURUNI SANA KWA HII SIKU MAANA NYUMBA YENU NI YA UPENDO NA FURAHA TELE.