Categorized
THANK YOU MEGHAN FOR TELLING US YOUR STORY WHILE ALIVE AND HARRY FOR THE TRUE LOVE..,
KAMA MWANAMKE UKIKAA NA KUMUOMBA MUNGU AKUPE MUME BORA HUYU NDIO MUME BORA NA HAPA SIONGELEI TITLE YAKE WALA UTAJIRI WAKE BALI NAONGELEA MAPENZI YA UKWELI ALIYONAYO KWA MKEWE NA FAMILIA YAKE.
MKIKAA NA KUOMBA OMBENI A MAN, MWANAUME AMBAYE ATASIMAMA NA WEWE NO MATTER WHAT NA SIO KUTIZAMA ANA MALI GANI AU ANA NINI KWANI MIFANO HAI IPO NA MSIONE MAJUMBA AU MAGARI MKAJUA WANA FURAHA BALI UCHUNGU WAMEUBEBA KIFUANI,NIMEMALIZA.COM!