THANK YOU ESTHER AND CHARLES FOR THE BEST WAY TO END 2019,WHO KNEW THAT 2020 WAS GONNA BE HELL ON EARTH!!
TULIALIKWA KWA BINAMU YANGU NA MUMEWE NYUMBANI KWAO KWA SHEREHE YA KUMALIZIA MWAKA MPYA.CHAKULA KULICHOMWA MBUZI NA KUKU.MENU KWAKWELI ILIKUWA NZURI NA TAMU.COMPANY PIA YA KUJUMUIKA NA FAMILIA PIA ILPENDEZA.TUNASHUKURU KUWA TULIIFUNGUA MWAKA SALAMA KWA FURAHA NA AMANI.ASANTENI SANA MR AND MRS KWA KUTUFUNGULIA MILANGO YENU..,