THE MORNING AFTER..,

I THINK THAT WE ONLY SLEPT LIKE 4 OR 5 HOURS ONLY WE WERE SO HYPED.WE WERE WOKEN UP BY SNIPER CAUSE HE WAS SINGING,RAPPING AND GOD KNOWS WHAT.WE TOOK SHOERS AND HAD LUNCH BEFORE HITTING THE DECK AND MORE SHOPPING/NAHISI TULILALA MASAA 4 AU 5 NA KUAMSHWA NA SNIPER MAANA ALIKUWA ANAIMBA,ANA RAP IKABIDI TU TUAMKE.BAADA YA KUOGA NA KUVAA TUKACHEZA KABLA YA KWENDA KULA LUNCH NA KWENDA KUNUNUA VITU KAMA PERFUME NA PIPI ZA WATOTO.
LOOK AT THAT ASSSSSS I WAS CARRYING HAHAHAHAH/KUMBE KALIO LIMOOOOO LOL..,
WHILE ENJOYING THE VIEW AND LIFE..,
UP ON THE DECK,..
THE DECK WAS LIT AND WINDY…,
BOUGHT SOME PERFUMES..,
WE DID MORE SHOPPING AT TAX FREE SO WE ARE COVERED HEADING BACK HOME..
MJOMBA JUCE..,
SOME OF THE VIEWS WE SAW..,
SNIPER IS BAAAAAAAACK…,
UNAUJUA MJELEDIIIIIII HAHAHAHHAHHA..,
TIME TO HEAD BACK HOME,IT HAS BEEN AN EVENTFULL 24HOURS ON WATERS/SASA MDA UMEFIKA WA KURUDI KIUKWELI HAYA MASAA 24 YALIKUWA AMAZING..,
MZIGO USHAPAKIWA/OUR GOODS ARE PACKED AND SAFE..,
MAUWA ALIPEWA NA BEBE..,
MJ IS STILL HOLDING HIS BEER CAN,I CAN!T MEEN HAHAHAHAH
ANAKATAA MATUKIO ALOFANYA HHAHAHHAHA SNIPER..,
STORI ZILIKUWA NYINGIIIII SANA HAHAHAHAHAH..,
0Shares

POLE DEAR EX,MWENZAKO NIKO SALAMA SALMIN..,

DRESS:ZARA BAG:DKNY SHOES:VINTAGE
NOW LETS TAKE YOU BACK TO THE PREPARATIONS/MAANDALIZI KABLA YA MTOKO
BLACK NINJA A.K.A SNIPER ON TARGET..,
GANG GANG..,
HE WAS SO COOL..,
WE HIT CLUB NUMBER ONE/TUKAENDA CLUB YA KWANZA
OFF TO THE NEXT CLUB/TULIPOMALIZA TUKAENDA SASA CLUB NAMBA 2..,
NINJA ON TARGET..,
MJ IN HIS ZONE…,
MJOMBA JUCE..,
AS YOU CAN SEE IT IS MORNING AND WE UP ON THE DECK/KAMA MNAVYOONA KUMEKUCHA TUPO ON DECK…
THEN CAME SNIPER ON TARGET HAHAHAHAH..,
UZURI ALIMUELEWA HAHAHAHAH
THE DECK WAS LIT AND SECURITY IS THERE TO MAKE SURE PEOPLE ARE SAFESINCE WE ON WATER/NILICHEKA SANA NA SECURITY WALIKUWA WANALINDA WATU MAANA TUKO MAJINI NA WATU WAMEKUNYWA POMBE.
CHANGED TO OUTFIT NUMBER TWO/NIKABADILISHAAAAAA..
HATUSHINDWIIIIIIIIII…,
WE WENT BACK AND DANCED TILL THE LAST SONG,THE CLUB WAS LIT AND WE REALLY ENJOYED OURSELVES.AFTERWARDS WE WENT TO EAT BREAKFAST AND THEN WE WENT TO BED AROUND EIGHT IN THE MORNING/TULIRUDI TENA CLUB NA KUCHEZA MPAKA ALFAJIRI NYIMBO YA MWISHO NA TULIPOMALIZA TUKAENDA KULA BREAKFAST HALAFU NDIO KWENDA KULALA NAHISI ILIKUWA KWENYE SAA MBILI ASUBUHI.KAMA KUENJOY TULIENJOY TENA SANAAAAAA..,
BACK IN OUR CABIN HAHAHAHAH..,
KUNA MTU ALIKUWA HATAKI KULALAAAA HAHAHAHAHAH
THAT IS ALL FOR NOW..,
0Shares

I NO COME THIS LIFE TO SUFFER..,

LETS DO THIS PEOPLE..,
LETS FIND OUR CABIN..,
PREPARING MY OUTFITS/NIKIANDAA MAVAZI YANGU..
THEM BOYZ..,
HE COULD NOT MAKE IT SO WE WERE FACETIMING HIM/HAKUWEZA KUJA KWAHIYO TUKAWA TUKO NAE KISIM ZAIDI..
LETS EXPLORE THE BOAT/SASA TUTALII KWENYE HILI BOTI HUMU NDANI…
NINJA SNIPER TARGET..,
THE SHOPS WITH DESIGNER BRANDS/MADUKA MBALIMBALI
CHEERS MATE..,
NINJA SNIPER ON TARGET IS HIS NAME..,
THE LAMB WAS SUPERB..,
THE DINNER WAS GREAT AND THE DESSERT AND CHEESE WAS AMAZING/CHAKULA KILIKUWA KITAMU SANA NA DESSERT NAYO HAIKUTUANGUSHA..,
AFTER DINNER WE WENT TO THE TAX-FREE SHOPS/TULIVYOMALIZA KUPATA CHAKULA CHA USIKU TUKAENDA MADUKA YA TAX FREE,YA VINYWAJI!
MINDING MY OWN BUSINESS..,
THE COLLECTION..,
BRAIDING WHILE TALKING AND MINGLING BEFORE HITTING THE NIGHTCLUB/MAMBO YAKUWEKANA SAWA KABLA CLUB HAIJAFUNGULIWA ILI TWENDE KUCHEZA.
0Shares

OUR LAST DAY GOING HOME..,

BIRTHDAY BOY I GUESS WE CELEBRATED YOU WELL WELL AND IT IS TIME TO GO HOME.
THE IDEA WAS TO DO SOMETHING THAT WILL INVOLVE THE KIDS ASWELL WHICH WE DID.
EVERYBODY ENJOYED THEMSELVES AND NOW WE ARE HEADING BACK HOME.

KAMA MNAVYOMUONA BIRTHDAY BOI TUMEMSHEREHEKEA NA SASA TUNAELEKEA NYUMBANI.
TULITAKA KUFANYA KITU AMBACHO KITAWAJUMUISHA WATOTO PIA NA SIO SISI TU WATU WAZIMA.WOTE TULIENJOY NA SASA TUNARUDI HOME.
0Shares