















YAANI PALE PARKING TULIKUWA TUNA FURAHA YA AJABU MAANA TULICHEZA MZIKI,PIGA PICHA NA KULA CHIPS YAI KABLA YA KUINGIA UKUMBINI.YAANI TULIKUWA NA VIBE AMBALO HALIWEZI KUSIMULIWA.




































UZINDUZI ULIKUWA MLIMANI CITY NA KILA KITU KILIENDA SALAMA.WATU WALIJAA SANA NA WENGINE KUKAA CHINI MULE NDANI MAANA SITI ZOTE ZILIJAA.FILAMU INAHUSU FAMILIA NA MAHUSIANO KATI YA MAMA NA MTOTO LAKINI PIA KUGUSIA MAANA YA NDOA.MOVIE NI NZURI NA MAMA KWELI KAFANYA VIZURI NA NAFURAHI KUWA KAWEZA KUTIMIZA NDOTO YAKE KWA HILO NAMPA HONGERA ZAKE.










BAADA YA KUMALIZA UZINDUZI SAA SABA USIKU TUKAELEKEA AIRPORT MAANA MARAFIKI ZANGU WALIKUWA WANARUDI KWAO.KIUKWELI WALILIA MAANA WALIKUWA WAMEENJOY SANA NA HII NDIO ILIKUWA MARA YAO YAKWANZA KUJA AFRICA.KIUKWELI SIKU HII ILIKUWA NDEFU NA EVENTS NYINGI BUT ALL IN ALL TULIMALIZA SALAMA.
BAADHI YA PICHA BY MUSTAFA SHUJAA