
















































THERE WAS ALOT PEOPLE AT THE FUNERAL SO IT IS UNDERSTANDABLE, AND I MET ALOT OF PEOPLE IN ONE DAY THAN I DID FOR MONTHS BEING HERE.
EVERYBODY HAD A STORY TO TELL ABOUT MR RUGE MUTAHABA BUT ALL IN ALL EVERYTHING WENT WELL AND HE WAS LAID TO REST THE DAY AFTER AT HIS HOME VILLAGE.
REST IN PEACE JASIRI MUONYESHA NJIA,MR RUGE MUTAHABA.
KILA MTU ALIKUWEPO KATIKA HUU MSIBA MAANA NILIONA WATU WENGI SANA KWA SIKU MOJA ZAIDI YA MUDA WOTE NILOKAA DAR ES SALAAM.USALAMA AU NISEME ULINZI ULIKUWA MKUBWA SANA MAANA RAISI ALIKUWEPO NA KILA MTU ALISACHIWA KABLA YA KUINGIA NDANI YA UWANJA HUU.KIUKWELI KILA MTU ALIKUWA NA STORI YAKE KUHUSIANA NA MAREHEMU BUT WALIMALIZA KILA KITU SALAMA NA AKAWEZA KUSAFIRISHWA NA KUZIKWA KWAO SIKU IFUATAYO.HUU MSIBA ULINIONYESHA MENGI NA KUNIFUNZA MENGI SANA.
UPUMZIKE SALAMA RUGE MUTAHABA.