

DAVID ALIKUJA MAPEMA SAA MOJA ASUBUHI KUTUFUATA HOTELINI NA GARI.TUKAPITA MALL KUNUNUA DRINKS NA CHAKULA TUTACHOKULA BAADAE MCHANA.PIA TULIAMBIWA RANGI ZA KUVAA NA KUTOVAA WAKATI WA TOUR.SAFARI KUTOKA ARUSHA MJINI MPAKA TARANGIRE ILICHUKUA KAMA LISAA MOJA NA KITU.MKIFIKA WANACHUKUA VITAMBULISHO NA KUACHA INFORMATION ZENU ILI WAJUE KINA NANI WALIINGIA NA MLITOKA SALAMA.


















































BAADA YA MASAA MNASIMAMA HII SEHEMU NA KUPATA CHAKULA CHA MCHANA.MAZINGIRA YA HII SEHEMU NI MAZURI SANA NA HAPA TULIPATA KUWAONA NYANI WENYE MAPUMBU YA BLUE,HAHAHA!






YAANI GUIDE WETU ALIKUWA AMAZING MAANA TULIZUNGUKA TARANGIRE MPAKA TUKAWAONA SIMBA MAANA HUWA WANAJIFICHA KUWAPATA NI MTIHANI BUT WE DID IT.

