MSIMU WA FALL AMBAO NI KABLA YA BARAFU KUSHUKA HUWA TUNAWASHA SANA CANDLES MAJUMBANI MWETU NA PIA KUBADILISHA MUONEKANO.LEO NIMENUNUA MISHUMAA NA CANDLE HOLDERS NIWEZE KUTENGENEZA AMBIANCE NYUMBANI KWANGU..,
TODAY I BOHT SOME CANDLES AND CANDLE HOLDERS ALONGSIDE OTHER ITEMS,DECOR ITEMS TO HAVE THE FALL LOOK INTACT.