THIS WAS SEVEN IN THE MORNING AFTER HITTING THE CLUB WE WENT TO PIERRE LIQUID BAR TO GET SOME SOUP BEFORE HEADING HOME TO SLEEP,ONLY IN AFRICA!

TULIVYOMALIZA CLUB TUKAONA ISIWE TABU TUKAUNGANISHA KWA PIERE LIQUIDI NA KUPATA SUPU YA MKIA NA MAKONGORO KABLA YA KURUDI NYUMBANI.HII ILIKUWA SAA MOJA ASUBUHI NA WENGINE NDIO KWANZA WANAANZA SIKU YAO..,

ALL IN ALL IT WAS AN AMAZING NIGHT WITH LES CREW..,
0Shares

0 Comments

Leave a Reply

Avatar placeholder