THE DINING ROOM..,
MY FIRST JOB AS AN INTERIOR DESIGN AND I HAD A WONDERFUL TIME DOING IT SINCE I LOVE BEING CREATIVE AND THE CLIENT WAS VERY EASY TO WORK WITH.THINGS HAVE BEEN ADDED TO THE SPACE LIKE MORE PLANTS,ARTWORK AND NEW CARPETS.WE BOUGHT PEACES FROM MIO,JYSK AND IKEA.

KAZI YANGU YA KWANZA KUDESIGN MAKAZI YA MTU KILA CHUMBA AU NISEME NYUMBA NZIMA.KIUKWELI NI KAZI ILA MTEJA WANGU ALIKUWA MTU MMOJA RAHISI SANA KUDEAL NAE SO SIKUPATA SANA SHIDA NA SASA KUNA VITU VIMEZIDISHWA KUZIDI KUPENDEZESHA NYUMBA.

0Shares

0 Comments

Leave a Reply

Avatar placeholder