Chama kinachoitwa Sverige Demokraterna kimetoa idea ya kusema kutaka kupunguza wageni nchini Sweden wamependekeza walio na vibali warudi makwao ila utapewa hela. Nadhani mwanzoni walisema 300,000 na Sasa wamepandisha 600,000 Swedish Kronor. Vyama vingine vimekemea Read more
0 Comments