


Wanawake wanaweza tena huyu ni muafrika mwenzenu.Kwa msioelewa hizo title zote ni zake ni kwamba ashawahi kuwa Chief Marketing Netflix,Brand office Uber, Marketing Executive at Apple na Head Music na Entertainment Marketing at Pepsi. Wapendwa hizi sio title za kitoto so tusisumbuane kuwa hamuwezi kujijengea au kujitegemea ni vile tu Kila mtu atavyoamua kuchagua njia ya kuitafuta hela ila msiweke fikra zenu za kuwa hamuwezi au lazma muwezeshwe. Hakuna kitu kitam maishani kama kula kwa jasho lako, Nimemaliza.Com!
0 Comments