Kwa wanaoishi Sweden sidhani Kama wiki hii hamjasoma au kuona habari kuhusu huu mgomo wa usafiri ambao ulianza saa tisa usiku wa jumapili tarehe 17 april 2023. Kwavile position yangu na The Union being the Senior Protective Officer hii wiki nlikuwa bize mnoo. Nimekutana na wanasiasa, waandishi wa habari, watu tofauti ili tuweze kutatua hili tatizo. Ndiomaana mnaona siku hizi siblog sana maana Nina majukumu mengi kukaa viti viwili sio kazi rahisi, Aluta Continua! källa:Svt
0Shares

0 Comments

Leave a Reply

Avatar placeholder