KWA NAMNA MOJA AU NYINGINE SIAMINI KAMA CHRISTMAS NI BAADA YA SIKU MBILI ILA KWA SWEDEN WAO HUSHEREHEKEA TAREHE 24 NA SIO 25.KWAO TAREHE 24 NDIO SIKU KUBWA NA HUJUMUIKA NA FAMILIA NA KUFUNGUA ZAWADI NA KUPATA CHAKULA KWA PAMOJA NA KWA WENGINE WENGI TAREHE 25 NDIO CHRISTMAS YENYEWE.NAWATAKIA CHRISTMAS NJEMA KWANI NAJUA HUU MWAKA UMEKUWA MGUMU SANA KWA WATU WENGI NA UMEKUJA NI MITIHANI MENGI SANA.BINAFSI NITAKUWA KAZINI NA HAPA NAANDAA NA WENZANGU ILI WENZETU NAO WAWEZE KUSHEREHEKEA JAPOKUWA WATAKUWA KAZINI.,
Categories: Categorized
0 Comments