HII SAFARI ILIKUWA KIKAZI SO HILI BOTI LINAONDOKA MAPEMA SANA ASUBUHI NA MKIINGIA STRAIGHT MNAENDA KWENYE BREAKFAST,AU NISEME BREAKFAST BUFFE AMBAYO TULIKUWA TUMEBOOK.BREAKFAST ILIKUWA NA VYAKULA VINGI SANA NA BAADA YA KULA TUKAANZA MIKUTANO YETU.MCHANA TUKAPATA TENA BREAK NA KUPATA CHAKULA CHA MCHANA.TULIVYOMALIZA KULA TUKAENDELEA NA MKUTANO HADI YALIPOFIKA MASAA MAWILI NA NUSU TUKAPEWA FREE TIME NDIO NIKAENDA KUFANYA SHOPPING KIDOGO NA TULIVYOMALIZA TUKAENDA LOUNGE NA KUCHILL HUKU TUKIBURUDISHWA NA LIVE BAND.
Categories: Categorized
0 Comments