Mmekuwa na roho za ajabu mno yaani hii hali imekuwa too much mpaka Inasikitisha. Nilijua nyie ni waungwana, Wakarimu ila kumbe its just an act maana maneno Na kumkejeli huyu mtoto wakati mnajua ni vita inanishabgaza mpaka makosa chakuandika. Tunaokutakia mema tunakuombea Urudi salama salmina Sonia.

Categories: Categorized

0 Comments

Leave a Reply

Avatar placeholder