NEJ TILL ÅTERVANDRING..,

Chama kinachoitwa Sverige Demokraterna kimetoa idea ya kusema kutaka kupunguza wageni nchini Sweden wamependekeza walio na vibali warudi makwao ila utapewa hela. Nadhani mwanzoni walisema 300,000 na Sasa wamepandisha 600,000 Swedish Kronor.

Vyama vingine vimekemea hili ila Wao wameuliza Kila Mji kama watakubali pendekezo Lao au hapana na kutaka kukaa chini na kuongea. Wengi wao wamelikataa ombi Lao ila tutajua Zaidi wakati wakielekea kwenye uchaguzi.