WE STOPPED HERE AND HAD SOME BREAKFAST BEFORE CONTINUING WITH OUR ROADTRIP.WE SLEPT ALOT UNTIL WE HAD LIKE 2 HOURS LEFT REACHING OUR DESTINATION THATS WHY I DONT HAVE SO MANY PICTURES,BUT THE NATURE WAS ABSOLUTELY AMAZING TO WITNESS.

TULISIMAMA HAPA NA KUPATA BREAKFAST KABLA YA KUENDELEA NA SAFARI YETU.KIUKWELI NLILALA SANA KWENYE HII SAFARI NDIOMAANA SINA PICHA NYINGI ILA NLIAMKA KABLA YA MASAA MAWILI KUFIKA NA MAZINGIRA NILIYOYAONA YALIKUWA AMAZING,KWETU PAZURI!
0Shares

0 Comments

Leave a Reply

Avatar placeholder