THERE IS A HOTEL AND A RESTAURANT ASWELL BUT WE VISITED THE RESTAURANT FOR THE CHRISTMAS LUNCH,THIS PLACE IS VERY POPULAR//HII SEHEMU NI POPULAR UKIJA MJI WA STOCKHOLM NA INA HOTELI NA MGAHAWA NA SISI TULITEMBELEA MGAHAWA KUPATA CHRISTMAS LUNCH.,
THE CHRISTMAS DECORATIONS WAS SO BEAUTIFUL.,
THE MEETING WENT WELL AND AFTERWARDS WE WENT FOR THE CHRISTMAS LUNCH AND DUE TO COVID THE BUFFET WAS CANCELED AND THEY SERVED YOU AT THE TABLE.THE FOOD WAS GREAT BUT THE SERVICE NOT SO MUCH BUT HEY I WAS ONLY THERE FOR THE COMPANY AND FOOD.WE LAUGHED AND REALLY ENJOYED OURSELVES AND THIS PLACE IS SOOO BEAUTIFUL//BAADA YA KUMALIZA MKUTANO WETU WA MWISHO WA MWAKA TUKAENDA KUPATA CHRISTMAS LUNCH.CHAKULA CHAO KILIKUWA KIZURI SANA ILA SERVICE YAO HAIKU NZURI BUT BINAFSI KAMA CHAKULA NI KIZURI HUWA SIJALI MAANA WAZUNGU WALIDEAL NAE.TULIENJOY NA KUFURAHI KWA PAMOJA NA TULIVYOMALIZA TUKARUDI NYUMBANI.HII SEHEMU NI NZURI SANA NA MAARUFU ILA PIA INA BEI SO CHAMSINGI NI KUJIPANGA TU NA KUENJOY.,
0Shares

0 Comments

Leave a Reply

Avatar placeholder