SARA MY LOVE INAFIKA MDA KAA KIMYA NA ENDELEA KUISHI MAISHA YAKO NA UWEZEKANO PIA UPO KUWA HIZO RESULTS ULIDANGANYWA ILI UBAKI SO KAMA ULIMTOA KWA WOLPER NA ULIJUA ANA MTU,UKAANZA MAHUSIANO NAE SASA LEO UNASHANGAA NINI?..KAMA MWANAMKE JIPENDE,JITHAMINI NA TAFUTA MTU ATAKAYEKUTHAMINI PIA MAANA KAMA UMEMSAIDIA YOTE HAYA NA BADO KAZAA NJE YA NDOA BADO UNANG!ANG!ANIA TU NINI,HAVE SOME SELF RESPECT!
0Shares

0 Comments

Leave a Reply

Avatar placeholder