TULIKWENDA KUTOA POLE MAANA HATUKUWEPO WAKATI SETHI ALIFARIKI.MAMA KANUMBA ALIONGELEA KUANZIA KUUGUA KWA SETHI MPAKA SIKU ALIYOFARIKI.KIUKWELI INASIKITISHA SANA BUT UNABAKI NA MASWALI AMBAYO UNAKOSA MAJIBU.MAMA KANUMBA AKPITIA MENGI ILA BADO ANAAMKA NA KUPAMBANA NA ULIMWENGU NA SISI TUKO PALE KAMA SUPPORT..,
Categories: Categorized
0 Comments