
























VILLA DAHL NI SEHEM NZURI,MANDHAR NZURI NA PIA NI SEHEMU AMBAYO INAFAA FAMILIA NA MTU BAKI.NI SEHEMU IMETULIA NA UNA BAHARI NA SWIMMING POOL KARIBU.WANA MGAHAWA,BAR NA ACTIVITIES ZA KUFANYA.NI SEHEMU TULIVU AMBAPO UNAPATA KUPUMZIKA NA KUPATA AMANI YA MOYO.









TULIPATA CHAKULA CHA USIKU HAPA NA DRINKS HALAFU TUKARUDI NYUMBANI MAANA NDIO ILIKUWA SIKU YAO YA KWANZA NDUGU ZANGU WALIKUWA WAMEWASILI.










0 Comments