














HII HOTELI IKO MJINI KABISA ARUSHA NA TULIKAA HAPA MDA WA SIKU TATU TU NA KURUDI DAR BAADA YA KUMALIZA SHUGHULI ZETU.HUYO KIJANA WA RECEPTION ALIKUWA MKARIMU,HODARI KWENYE KAZI YAKE NA PIA ALITUSAIDIA KUTUPA TIPS ZA VITU VYA KUFANYA WAKATI TUPO ARUSHA.KIUKWELI HOTELI NI NZURI,SERVICE ZAO NI NZURI NA PAMETULIA SANA.
0 Comments