It was Miss Z birthday and she planned the Menu which was burgers and hot dogs. Then we had snacks and watches a movie, BarbieLand and afterwards she opened her gifta and we danced a bit and enjoyed the evening/ Mwenye birthday alichagua anataka meny gani na alikuwa na program ambayo tulianza saa nane,then tukala chakula na bada ya hapo snacks na kutozama filamu alichagua mwenyewe.Baada ya filamu tukakata keki na kufungua zawadi zake.Kiukweli alifurahi mnoo na kutushukuru kwa kuhudhuria siku yake ya kuzaliwa. Tunakutakia kila la kheri Miss Z ♥️♥️♥️

THANK YOU DADDY JUCE FOR PLANNING A DAY TO REMEMBER FOR YOUR DAUGHTER.

0Shares
Categories: Categorized

0 Comments

Leave a Reply

Avatar placeholder