Hawa wanawake watatu wataandika historia kuwa marefa kwenye mechi za wanaume za mpira kwenye mashindano ya World Cup in Qatar. Stephanie anatokea Ufaransa, Yoshimi Japan Na Salima kutoka Rwanda.


0 Comments

Leave a Reply

Avatar placeholder